AgentsLog inakusaidia kufanya na kufunga hesabu zako za kila siku kwa haraka, urahisi na usahihi.

Tumia muda mchache kufanya hesabu, fuatilia biashara yako kwa urahisi, na ujue kinachoendelea kila siku
Hesabu za mkono zinaweza kuchukua muda mwingi na kufanya makosa kuwa rahisi kutokea.
Ona salio lako kwa urahisi, weka kumbukumbu zako sehemu moja, na beba taarifa muhimu kwenda siku inayofuata bila kuanza upya.
Kila teller ana app yake na mahesabu ya jumla yanaonekana kwenye dashbodi ya admin mkuu
Kila Kitu Unachohitaji Kusimamia Hesabu Zako
Njia rahisi za kuweka kumbukumbu, kufanya hesabu na kusimamia biashara yako kwa urahisi

Badilisha Shughuli za Wakala Wako
Kutoka kwa karatasi na excel za mikono hadi ubora wa kidigitali. Mfumo huu unarahisisha muda wakati wa mahesabu na unakupa rekodi na taarifa za biashara yako.
Tunatumia teknolojia za usalama na encryption kulinda taarifa zako za biashara.
Jukwaa la wingu linahakikisha data yako inapatikana saa 24/7 kutoka kifaa chochote.
Kuwa usahihi na umahiri unaoondoa kazi za kurudia na kupunguza makosa ya mikono.
Sababu ya kutumia mfumo wa AgentsLog
Njia rahisi za kuweka kumbukumbu, kufanya hesabu na kusimamia biashara yako kwa urahisi
Pata hesabu za siku yako kwa haraka na kwa urahisi bila kupitia mahesabu magumu ya mkono.

Angalia cash, float na taarifa muhimu za biashara yako kwa siku yoyote

Jua biashara yako inadaiwa kiasi gani na wewe unadaiwa kiasi gani katika sehemu moja
Usihangaike kupitia daftari tofauti kwa kila mhudumu. Angalia taarifa muhimu za kila mmoja sehemu moja.

Tazama mfumo kamili wa hesabu katika kufuatilia float yako, kufuatilia hasara, na kukuza biashara yako ya pesa za simu bila makosa.
Jiunge na mfumo wetu unaoaminika na mawakala wote wa fedha
Uko tayari kubadilisha shughuli za kifedha? Tungependa kusikia kutoka kwako. Tutumie ujumbe na tutajibu haraka iwezekanavyo.
Bei Rahisi na Wazi
Chagua mpango mkamilifu kwa mahitaji ya wakala wako
Bora kwa mawakala wanayokuwa na timu zaidi ya moja
Tzs 59,999/mwezi
Jiunge LeoVipengele vya hali ya juu kwa mashirika makubwa
Custom/mwezi
Jiunge LeoKila kitu unachohitaji kujua kuhusu AgentsLog
AgentsLog inaweka kumbukumbu na mahesabu yako ya kila siku katika mfumo mmoja wa kidigitali, ikipunguza kazi za kurudia kwa mkono na kurahisisha usimamizi wa biashara yako.
Unaona hali ya hesabu zako wazi. Kama kila kitu kiko sawa, unafunga siku. Kama kuna tofauti, AgentsLog inaonyesha madeni, cash au float iliyokosekana ili uifuatilie
Ndio. Taarifa zako zinalindwa kwa njia salama za usiri(encryption), na taarifa za biashara yako hazishirikishwi na third parties.
Ndio! Tunatoa jaribio la siku 21 la bure kutumia mfumo moja kwa moja. Hakuna malipo yanayohitajika kuanza.
Ndio. Tunatoa mafunco ya bure ya siku 4 ili kukusaidia wewe na wafanyakazi wako kujifunza kutumia AgentsLog kwa ufanisi.